gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 668
- 898
Wana jf heshima zenu.Natafuta mweza awe kuanzia miaka 23-28,Elimu form six dini yeyote ijapo mimi mkristo.Mi ni udsm graduate nina miaka 30 pia nina kazi.Kwa yeyote anayenikubali ani PM ili mawasiliano mengine yaanze na kujuana zaidi.