gubegubekubwa JF-Expert Member Joined Jun 9, 2008 Posts 668 Reaction score 898 Mar 22, 2013 #1 Wana jf heshima zenu.Natafuta mweza awe kuanzia miaka 23-28,Elimu form six dini yeyote ijapo mimi mkristo.Mi ni udsm graduate nina miaka 30 pia nina kazi.Kwa yeyote anayenikubali ani PM ili mawasiliano mengine yaanze na kujuana zaidi.
Wana jf heshima zenu.Natafuta mweza awe kuanzia miaka 23-28,Elimu form six dini yeyote ijapo mimi mkristo.Mi ni udsm graduate nina miaka 30 pia nina kazi.Kwa yeyote anayenikubali ani PM ili mawasiliano mengine yaanze na kujuana zaidi.