Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas

msocial

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
78
Reaction score
42
Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas hii! Awe dar, umri miaka 17-27. Asiwe mwanafunzi wa secondary au primary(miaka 30 shida)! Awe na nguo za sikukuu tu...mengine nitacover. [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
...Nitakuwa arachuga xmass ...girl anayetaka kula goodtime anicheki. ..aje narafiki yake
 
Duuu kizazi hiki bhana ni shida loo!! Kwahiyo x-max ndio siku ya kufanya ushetani et eeeh. Mungu anatuona
 
Mkuu wakija wengi pm waforwad kwangu mana hat mi nahitaji
 
pitia kwanza hapa uyole mbeya ndyo uende huko dar nikupe maelezo vizur usijeshuka kibaha ukadhani umefika dsm,,au usije ukauuliza milimani city kiingilio shngap
Wewe napanda Mwafrika bus service kuanzia hapa kijijini hadi Iringa kisha Dar.

Siwezi kupotea nimesoma UDSM sio mgeni wa jiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…