Natafuta msichana wa kutoka nae Christmas

Aiseee una swaga za kizamani eti awe na nguo za sikukuu yani aiseeee.....
 
Gharamia kila kitu si umeamua kujitolea kwa siku hiyo tu? Gharamia kuanzia mavazi mweeeehh!
 
Tuma nauli kwanza
Nauli ya taxi utaikuta huku, ya kutoka makete wewe panda basi la Mwafrika au hard top ya Halmashauri. Ukifika Ikondo msalimie Dr. Byalgaba, pale Njombe msalimie Mtweve, Makambako msalimie, Jacob Haule, kisha uniletee "matopetope" ya Mafinga.
 
Wewe kwenu Nyipuni maana hilo jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…