S siz Senior Member Joined Jan 26, 2015 Posts 135 Reaction score 25 Dec 13, 2020 #1 Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta ambapo vile vile dukani hapo inatolewa huduma za kiufundi. Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za laptop na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja. Awe anajua laptops\destop versions na thamani zake. Jinsia ni vuzuri akiwa wa kike duka lipo Kaloleni karibu na shule ya msingi kaloleni Kama unakidhi hapo mawasiliano watsapp 0759278651 Note: duka ni jipya tutaelewana kiwango cha malipo.
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta ambapo vile vile dukani hapo inatolewa huduma za kiufundi. Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za laptop na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja. Awe anajua laptops\destop versions na thamani zake. Jinsia ni vuzuri akiwa wa kike duka lipo Kaloleni karibu na shule ya msingi kaloleni Kama unakidhi hapo mawasiliano watsapp 0759278651 Note: duka ni jipya tutaelewana kiwango cha malipo.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Dec 16, 2020 #2 Sawa
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Dec 17, 2020 #3 Wajuzi kazi hii