Natafuta msichana wa miaka 24 kushirikiana naye kwenye biashara hapa Dar

Angelnation

Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
45
Reaction score
30
Naomba kwa aliyeko dar, umri miak 24, mwenye ujuzi wa biashara, ambae yuko tayar kufanya kaz (kujiajiri) awasiliane nami inbox tufanye kaz na awe mwanamke
 
Mmmmh...kwenye pesa atake amini haraka haraka ni tapeli tu ambae atataka akupe then akupige. I'm sorry,subiri watakuja
 
Mbona unatumia Akir kubwa kwa issue ndogo..Badili title watakutafuta fasta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…