Natafuta msusi wa braids aina mbalimbali Zanzibar stonetown

Natafuta msusi wa braids aina mbalimbali Zanzibar stonetown

flamini

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
533
Reaction score
586
Wanamitindo kwema?

Kuna mgeni wangu anakuja soon na atataka kusuka braid Zanzibar. Kuna msusi wa braid au unamjua msusi Zanzibar?
 
Wapo Maasai kibao hapo Stone town wanasuka,usiwe na shaka akifika mgeni wako we toka nae tu.
 
Back
Top Bottom