asante kaka inabidi aiseeHongera mkuu. Kazi kazi asee
ok chief nikajua naweza pata mmoja ambae anaujuzi kotehapo unatafuta watu wawili tofauti,mtaalam wa mifugo na mtaalam wa kilimo,
Chief shamba ni eka 104,60 zinamkonge tayari unaenda mwaka wa tatu,zilizobaki tunasafisha kwasasa eka 13 za kuanzia kilimo cha kawaida zinazobaki tutaendelea kuzisafisha kwaajili ya kupanda mkonge mwakani inshaAllahShamba linaukubwa gani na ufugaji wa mifugo gani na utanilipa milioni ngapi Kwa mwezi?
ChaiChief shamba ni eka 104,60 zinamkonge tayari unaenda mwaka wa tatu,zilizobaki tunasafisha kwasasa eka 13 za kuanzia kilimo cha kawaida zinazobaki tutaendelea kuzisafisha kwaajili ya kupanda mkonge mwakani inshaAllah
ooh ok nilifikiria Kahawa maana bado na eneo kama eka 70 sijalifanyia kazi ndio nipo kwenye process lakulisafisha ,na horticulture kwaajili ya cash flow...nipe mawazo Kilimo gani kingine?Mkuu wekeza kwenye mazao ya kilimo cha chakula hata hasa ya mda mrefu, Hizo mikonge zina altenative nyingi sana, demand yake sio kivile, Chakula hakina mbadala wake. Ila iwe mazao ya mda mrefu
haha nimechimba maji mirungi juu huko Tae ndio wanakimbizaHapo makanya lima mrungi tu, ila pakavu hapo sio poa
hongera sana kaka wanalima sana Ngwasha upande huu na wateja ni Wakenya na pia vitunguu,wafugaji kweli wanasumbua but kidogo siku hizi sheria imekuwa kali so wako makini nikujitahidi kuweka fance eneo lako tuuHongera sana Kk mkubwa, Umetaja hiyo sehemu makanya umenikumbusha 2017 , nilimaliza Kaz ya mkataba hapa dar nikapata kinua mgongo wangu km 2 mil. Aise nilikua hapo Kwa kulima zao moja linaitwa ngwasha ni aina ya maharage flan hivi ya rangi nyeusi na nyeupe, nikadili na vitungu kwa mbali kule ruvu, aise nilikuja kufikia wakati wa pariz nilichokuja kunitokea ni Mpk now kinaumiza moyo , na ndio maana vita ya wakulima na wafugaji Aiwez isha Kwa Tz , ni kupe moyo hongera kwa hatua ulioyo fikia
?Aise kipengele sn kk huna iman utalia aise Barikiwa sana
Nyie watu huu ushauri sjuwi huwa mnautoa wapi. Mahitaji ya mkonge ni makubwa kuliko uwezo wa nchi kuzalisha. Yaani mtu mpaka amenunua shamba amepanda zaidi ya eka 60 unafikiri hajafanya utafiti?Mkuu wekeza kwenye mazao ya kilimo cha chakula hata hasa ya mda mrefu, Hizo mikonge zina altenative nyingi sana, demand yake sio kivile, Chakula hakina mbadala wake. Ila iwe mazao ya mda mrefu
asante kakaNyie watu huu ushauri sjuwi huwa mnautoa wapi. Mahitaji ya mkonge ni makubwa kuliko uwezo wa nchi kuzalisha. Yaani mtu mpaka amenunua shamba amepanda zaidi ya eka 60 unafikiri hajafanya utafiti?