Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 819
- 756
Habari wataalamu wa kilimo na mifugo.
Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia watanzania kwenye kilimo na ufugaji kama biashara kwa kutoa huduma ya ushauri na tiba kutokana na mahitaji ya wakulima na wafugaji.
Nimetembelea kwenye magroup mengi facebook especially kwenye group linaitwa "UFUGAJI WA KUKU, MASOKO NA CHANGAMOTO", nimeona wafugaji wengi wanapata changamoto ya magonjwa ya mifugo yao bila soluhisho.
Kwa kutopata majibu ya maswali yao nimeona kama ni fursa ya kuanzisha platform ambao wafugaji na wakulima watauliza maswali yao na kujibiwa na wataalamu kwa kupewa ushauri pamoja na tiba husika kutokana na magonjwa ya mifguo au mazao yao.
Tunaweza tukafungua kabisa kampuni yenye kudili na kilimo na ufugaji na kutoa huduma ya solve matatizo ya kilimo na ufugaji kwa wakulima na wafugaji, kama kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo na mazao.
Kwa huduma hii tunaweza kujitika zaidi online ili iwe rahisi kusaidia wateja wengi kwa mara moja instead of kwenda kwa mmoja mmoja ingawa hiyo huduma itakuwepo kwa wanaotaka MANAGEMENT YA MIFUGO AU MAZAO
Sisi tunapataje pesa kwa kujikita online services?
Wanachama wote wanalipia huduma kwa schedule (mwezi, miezi na mwaka) kupata ushauri na tiba pamoja na madawa ya mifugo na mazao. Kwa wanachama watapata makala mpya kuhusu ufugaji na kilimo cha kisasa kinachoongeza uzalishaji.
Binafsi natamani sana kufuga kuku wa kienyeji kwa kutumia technology kwa maana kwamba niwe naweza kuzalisha kuku wengi kwa muda mfupi , madhani kila baada ya miezi 6 nifikisha kuku 1k au 10k. Haya madini kila mtu anapenda kuyapata hajui anapata wapi.
Nahitaji wataalamu wa kufanya hichi kitu kitokee, maana 90% wa Watanzania wanajikita na ufugaji na kilimo; kwaiyo kuhusu customers sio la kuwaza kabsa ishu ni contents na skills ya kuwavusha wafugaji na wakulima wazidishe uzalishaji kwenye field zao na kufanikiwa kupitia sisi kwa kuwashauri vizuri na kuwapa mbinu za kisasa kwenye field zao.
Biashara ya huduma haitaji vitu vingi zaidi ya vibari vya serikali na mtu kazi bila kusahau technology ya kuwafikia walengwa kirahisi zaidi ili kuweza kutatua matatizo yao kwa urahisi zaidi.
Kama uko tayari kwa hili nichek 0652247221, husinichek kama wewe msotea tumbo ni hatare kwa new project. Uwe Dar.