permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mg builders wapo vizuri sanaaa ofisi zao zipo capital city Mall pale
Kila kitu kinazungumzika hakuna shida mnakaa mezani mnakubariana tuuu hakuna shidaBei Zao zikoje
Nimekutumia pmBei Zao zikoje
Nakutumia namba pm jamaa ni mchoraji mahiri na huchelewi kupata ramani yako na bei yake inaongelekaAmani iwe nanyi.
Natafuta mtaalam wa kuchora ramani anayeishi Dodoma. Kuna eneo nataka kujenga vyumba vichache kwa akili ya biashara.
Kwa mwenye sifa hizo tuchekiane inbox.
Thanks nashukuru mkuuNakutumia namba pm jamaa ni mchoraji mahiri na huchelewi kupata ramani yako na bei yake inaongeleka