Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atasema anajua hiyo kazi, mpe advance halafu mwisho anauangushia kwebye fence.Habari yenu wakuu.
Niko Arusha, natafuta mtaalam wa kukata mti mkubwa ulio karibu na nyumba bila kuathiri mazingira yaliyo zungukwa na mti huo ikiwa ni pamoja na fence na miti midogo chini.
Mwenye utaalam huo kwa Arusha mjini aniPM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njaa mbayaAtasema anajua hiyo kazi, mpe advance halafu mwisho anauangushia kwebye fence.
Hapo ni magereza tuuu ndiyo wanaoweza hiyo kazi watafute.ila wakipiga chini mti wote ni wao
Sababu za kuukata huo mti ni nini? Uache usiuharibu mkuu....miti ni mazingira mazuri sana
Niko ArushaKama uko Arusha naweza kukuelekeza anako patikana .
Nenda pale kanisa road 🛣️ nyuma ya kanisa la Anglican, Kuna office za Taha. Ulizia mtu anaitwa Elia mkata Miti watakupatia mawasiliano yake.
Kweli mkuu. Magereza wanakata vizuriAtasema anajua hiyo kazi, mpe advance halafu mwisho anauangushia kwebye fence.
Hapo ni magereza tuuu ndiyo wanaoweza hiyo kazi watafute.ila wakipiga chini mti wote ni wao
Shukran chiefNenda pale kanisa road [emoji2926] nyuma ya kanisa la Anglican, Kuna office za Taha. Ulizia mtu anaitwa Elia mkata Miti watakupatia mawasiliano yake.
NB : yeye hapatikani hapo ,ila nilahisi kupata sim yake hapo.
Ha ha haaa. Hapana mkuu.Sema Mkuu Hala hala Jirani,Isijekuwa ni sehemu ya Watu ya kutambikia.
Nilikuwa nina shida na wa huku Arusha. I wish ningepata wataalam wa namna hiyoMkuu kuna wakata miti special wanaotumiaga Crane km mti ni mkubwa sana ili kuzuia magogo yasidondokee kwenye paa za nyumba
Ila gharama zao ziko juu san
Ofisi yao iko
Dar es salaam
Oyster bay
Near Morogogoro store