Natafuta mtaalam wa kutengeneza LED Name Display


mkuu uko dar au wapi?
 
Hapana. Sasa hivi nimekuja U.S. kuja kubeba boksi kidogo. Lakini nitarudi Dar mapema mwezi wa kwanza.

okey, tutapiemiana ukija. mbona ishu zipo za kumwaga mpaka kwenye mabango barabarani kuna matangazo ya LED's ya kumwaga hapa hapa bongo wanatengeneza
 
DIT is Dar es salaam Institute of Technology wako pale Bibi tit na Morogoro ni chuo kuna wataalamu wazuri tu wa Electronics kama kweli unatoa pesa ya uhakika basi utawapata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…