Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
Kwa ufafanuzi ni kwamba sihitaji hela ya mtu yeyote, nahitaji ushauri wa kitaalam zaidi kwanza. Sehemu kubwa gharama ni juu yanguWatu mtakaoingia huko pm hakikisha hamtoi hela just in advance....
sihitaji hela yeyote. Nahitaji ushauri wa kitaalam zaidi....kama wewe ni mmoja wao basi tuwasiliane PM tuone tunafanyajeMe Sina mtaji lakini, tunafanyaje
Kwanza hakuna suala la hela. Pili nataka tubadilishane namba ili tuweze kuyajenga zaidi.Kwanini pm nasio hapa View attachment 2005380
utaalam wako ndiyo mtaji wakoMe Sina mtaji lakini, tunafanyaje