Natafuta mtaalamu haswa wa kunitengenezea UA zuri la Gypsum sebleni kwangu malipo laki 3

Natafuta mtaalamu haswa wa kunitengenezea UA zuri la Gypsum sebleni kwangu malipo laki 3

Captain A

Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
67
Reaction score
163
Kichwa cha habari kinajieleza, namtaka mtaalamu ambae atanitengenezea UA zuri la kisasa sebleni kwangu kwa malipo tajwa hapo juu, Angalizo nahitaji expert haswa sio mtu wa kujifunza.Eneo Kibaha
IMG-20231223-WA0026.jpg
 
Leta design ya hilo ua, siyo kazi ya laki 8 unataka ufanyiwe kwa laki 3.
Nipo serious na km unahitaji mikanda pia nambie.
 
Leta design ya hilo ua, siyo kazi ya laki 8 unataka ufanyiwe kwa laki 3.
Nipo serious na km unahitaji mikanda pia nambie.
Sina Design maalum utanishauli nikiridhika sawa, bei hiyo nimetoa offer, kama utanishauli vizuri nikaridhika na mchoro tunaweza kukubaliana.
 
Teheeeeee mkuu ua la gypsum una , pia ujasema umepiga blandaring au bado Kwa haraka umewatusi sana mafundi gypsum Kwa hiyo bei
 
Back
Top Bottom