mkuu hivi peramiho mna specialist wa ENT? pia kuna vitendea kazi vya uhakika katika hiyo idara? kama yupo anaitwa nani? natanguliza shukrani.Acha maswala ya herbal, aje Peramiho hospital tunapima na kutibu magonjwa haya. Hii inawezekana ni Rheumatoid Arthritis.
Nimnene? Ana kgs ngapi?
Pole sana nitafute mimi kwa wakati wako dawa ninayo ya kuweza kumtibu mzazi wako ukinihitaji bonyeza hapa.MawasilianoHabari wakuu
Tafadhari naomba msaada kwa anaejua tiba ya maumivu ya miguu
Mzazi wangu wa kike kiumri yupo kwenye miaka 60 sasa ni mwaka wa tatu anaumwa sana miguu,inavimba kwenye magoti,tumehangaika hospital ila hakuna nafuu.kila siku ni lazima anywe antpains .kwa anaejua tiba naomba anisaidie.
Asanteni.