Natafuta Mtaalamu wa Digital Marketing

Natafuta Mtaalamu wa Digital Marketing

TensorFlow

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
993
Reaction score
1,286
Hello wadau,

Natafuta mtaalamu mwenye uwezo wa kutengeneza na kuchanganya high quality graphics na videos kwa ajili ya marketing. Sifa:

1.) Awe na ujuzi wa kutengeneza na kuchanganya sauti, video na graphics kwa kiwango cha juu.

2.) Ajue kiingereza na kiswahili vizuri sana, kuongea na kuandika.

3) Akiwa mwanamke ni added advantage.

PM kama una sifa.

tf.
 
Muwe mnaweka dau ili mtu ajipime kabisa
 
Muwe mnaweka dau ili mtu ajipime kabisa
Dau halafu hujui unaenda kufanya nini ni ngumu. Kuelewa unatakiwa ufanye marketing ya aina gani inahitaji kwanza maelekezo. Tunatafuta mtu au watu ambao kama wakiwa vizuri tutafanya nao kazi in long run.

Ni kukaa kwanza na kuelekezana ndipo tunaweza kujadili dau.

Kila la heri Root.
 
Hela ya kumlipa mnayo, au ndo baadae zinaanza blabla?
 
Mwanamke mwenye sifa hizo ni mke wa mtu na kawekwa tego je atakufaa?
 
Back
Top Bottom