TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Dau halafu hujui unaenda kufanya nini ni ngumu. Kuelewa unatakiwa ufanye marketing ya aina gani inahitaji kwanza maelekezo. Tunatafuta mtu au watu ambao kama wakiwa vizuri tutafanya nao kazi in long run.Muwe mnaweka dau ili mtu ajipime kabisa
Unataka TShs ngapi?Hela ya kumlipa mnayo, au ndo baadae zinaanza blabla?
Yeye anatafuta nini zaidi badala ya kufanya kazi yetu?Mwanamke mwenye sifa hizo ni mke wa mtu na kawekwa tego je atakufaa?