Natafuta mtaalamu wa fani ya kubet

fakhbros

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
384
Reaction score
658

Habari zenu wadau
Nimefanya research katika maswaala ya uchumi hasa kwa wajasliamali wadogo nimegundua kuwa kama mjasiliamali jasir unaweza kuwekeza miatano kwenye Mkeka na ukaibuka na pesa kibao

Tatizo ambalo limenifanya kuja kwenu ni baada ya kujaribu Mara nyingi nakutoka kavu
Nimejaribu Mara nyingi lakini bila bila

Naomba kama kuna mtaalam wa fani hii ya kuchana mikeka basi tupeane uzoefu katika fani hii ya kuchana naamini kama mtu atajua vyema jinsi ya kubeti anaweza kuwa bilionea kama bakhresa....

Maoni yenu wakuu.
 
Kuwa billionaire ingekuwa rahisi kama unavyodhani basi kila mtu angebeti
 
Kubet hamna utaalam mzee labda useme unatafuta mzoefu wa kubet.
[HASHTAG]#betkwamalengo[/HASHTAG] [HASHTAG]#sio[/HASHTAG] kwa tamaa
 
Huyo mtaalamu aache kubet yeye awe tajiri unataka aje kukubetia wewe, hiki ni kichekesho
 
Unaweka 500 upate millioni 5? Acha ndoto
Fanya hivi weka 1000 bet, juve odds2, bet psg, bet Dotmund, bet, shanghai, bet barcelona, hapo una odds 5, so weka 10000 ule 50000... Na sio lakitano
 
Nilishawahi kusema hapa, kubet ni hesabu. Kubet ingekuwa ni mpira, basi kina Kibonde, Kitenge, Maestro & Co wangekuwa mabilionea.
Kile wanachoongeaga mi naonaga ni kelele tu! Yani ni blah, blah za mpira...
 
mtaalam nipo kutoka Tanga.. sema kijana una matatizo gan..
 
Unaweka 500 upate millioni 5? Acha ndoto
Fanya hivi weka 1000 bet, juve odds2, bet psg, bet Dotmund, bet, shanghai, bet barcelona, hapo una odds 5, so weka 10000 ule 50000... Na sio lakitano
Huwez ukapata odd 5 kwa timu hzo mara nying odd zao huwa ni 1.09 -1.2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…