Mgoda simtwange
Senior Member
- Sep 7, 2012
- 168
- 64
natafuta mtaalamu wa kuandika academic proposal ya kurasa 30 katika masuala ya elimu. (iwe na background, literature review na methodology). Materials yote ninayo na atafanya kazi bega kwa bega na mimi. inatakiwa ikamilike ndani ya miezi miwili au mitatu. Malipo mazuri yatatolewa. Aliye tayari ani PM kwa mawasiliano na majadiliano zaid
acha ukanjanja kwanini usifanye mwenyewe?Da hapo mwenyewe unajiita msomi unataka udese acha uvivu