Natafuta mtaalamu wa kuandika Academic Proposal katika sekta ya Elimu

Mgoda simtwange

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
168
Reaction score
64
Natafuta mtaalamu wa kuandika Academic Proposal ya kurasa 30 katika masuala ya elimu. (Iwe na background, literature review na methodology). Materials yote ninayo na utafanya kazi ukishirikiana na mimi. Pesa ndefu itatolewa endapo tutafanikiwa kwenye hili jambo.

Aliye tayari ani PM kwa mawasiliano zaidi..
 
Uko field gan ndugu na hiyo kazi yako,submission ni kipindi gani from now?
 

Is it for Bachelor Degree or Masters Degree?
 
hakuna tatizo uta saidiwa kuandikiwa hiyo research proposal kuanzia chapter one ambapo ina background of the study, statement of the problems, rationale of the study, general and specific objective pamoja na maswali ya hizoobjective,conceptual framework, chapter two yenye key concept, theories of the study, theory, empirical literature review, information gap, chapter three yenye geographical location of the study, research design, type of data, sampling procedure, data collection procedure and methods, data analysis and presentation and limitation of the study, (NOTE hivyo vina endana na Guidelines ya chuo chako so kama tukikubaliana uje na Guidelines ya chuo chako), pia kama utahitaji kusaidiwa mpaka kwenye data analysis pia sawa kuanzia Descriptive statics analysis mpaka inferential statistics analysis... so unaweza nicheki kwa namba hizi 0754 660061 au 0786 660061, au vicentvicent31@gmai.com
 
Haya na mimi nafanya, mwenye uhitaji wa kuandikiwa report ya research/thesis tutafutane tuyajenge.....pia mwenye uhitahi wa kuandikiwa au kuongozwa kuandika Community Need Analysis, (CNA). Usisahau pia kuwa tunaandaa pia Proposal ya aina yoyote ile kwa matumizi ya aina mbalimbali....karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…