Natafuta mtaalamu wa kuandika mchanganuo wa biashara.

mc1886

Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
33
Reaction score
0
Habarini za leo?
Natafuta mtaalamu wa kuandika mchanganuo wa biashara. NIKO DSM. Nauhakika hapa ndiyo mahali pake. Yeyote mwenye utaalamu huu naomba anifahamishe ili nimpe details. Natanguliza shukursni.
 
ninafanya hiyo huduma. ninauzoefu wa kutosha katika uandaaji na uwandishi wa mipango ya biashara.

gharama zangu huwa ni za kawaida sana kulingana na kiwango cha mtaji mtu alichonacho....

ikumbukwe mtaji unapozidi kuwa mkubwa ulazima wa kufanya utafiti wa kina pia ni muhimu ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa za msingi ba kuondoa risk katika uwekezaji utakaoletwa kwa kutokuwa na taarifa sahihi kabla ya kuwekeza.

napatikana dar es salaam
0755815174
 
Katika soko huru la biashara, hata uandishi wa mchanganuo pia ni biashara. Unaweza kutumia nafasi hiyo kuangalia gharama za mtengenezaji wa huo mchanganuo na umahiri wa kazi. Hivyo unaweza kuwasiliana nami pia kwa maelekezo zaidi. 0774272018
 
Ningekula hicho kichwa ila kwa sasa nina kazi nyingi sana. Vijana wakikuzingua nitafute kwa maelekezo zaidi.

Tiba
 
heeeeeh pamejaaa kila mtu anajua na namba mumewekelea ? basi mimi napita kiugumu si mchezo maanaaaaaa dili imebaki manyoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…