Natafuta mtaalamu wa kupasua miamba kwa kutumia baruti

Natafuta mtaalamu wa kupasua miamba kwa kutumia baruti

Hujasema uko wapi
Mwamba gani,
Wahitaji Compressor au tundu za mkono?
Vilipuzi kama Tonte, Vifua na Viberiti vinapatikana hata hapo ulipo kama huwa wanalipua basi vipo
 
Ngondo ... Sogea eneo lolote wanapochimba dhahabu ulizia wacholongaji, karibu yako itakuwa buhemba au misungwi, ishokera
 
Back
Top Bottom