Hujasema uko wapi
Mwamba gani,
Wahitaji Compressor au tundu za mkono?
Vilipuzi kama Tonte, Vifua na Viberiti vinapatikana hata hapo ulipo kama huwa wanalipua basi vipo
Kwa ukanda huo wa ziwa huwa ni kama 25k kwa kila tundu na hapo wametumia electric detonation na pia wametua water gel na mchanga wa kawaida instead of ANFO powder