Tunguli ya Rais Member Joined Jan 25, 2019 Posts 49 Reaction score 60 Feb 11, 2023 #1 Wakuu vipi, Natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
Wakuu vipi, Natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Feb 11, 2023 #2 Hela unayo mm pia nasafisha fresH
M mack_bendy Member Joined Feb 8, 2023 Posts 25 Reaction score 60 Feb 11, 2023 #3 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee, Ili wote wamwaminio wapete uzima wa milele. Mwamini Yesu mkuu.[emoji106]
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee, Ili wote wamwaminio wapete uzima wa milele. Mwamini Yesu mkuu.[emoji106]