Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
Habari wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja.
Ila kwa bahati mbaya mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya CODING na PROGRAMMING LANGUAGES, hivo nilikua naomba kama kuna mtu yoyote hasa kijana mwenzangu mpambanaji na ambaye anajua na anajiamini yupo vizuri kwenye kutengeneza APP na WEBSITES anitafute, tukae na tushirikiane kwa pamoja kukamilisha wazo hili.
Kwa wewe uliyetayari naomba uni PM kisha tutaongea mengi zaidi.
NB: Sio kwamba nataka kukuajiri bali nataka tushirikiane kwa pamoja na rizki yoyote atakayoruhusu Mungu kupitia project hii tutagawana.
"To DARE is to DO"
"You wont know unless you try"
"Beginning is half done"