Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 310
Sio kwamba nataka kuifanya mwenyewe,hapana, lengo ni kutengeneza prototype kisha kui-present kwa targeted people ambao nataka kuwauzia wazo hilo.Idea ni stage nzuri hasa kama itakuwa distruptive.
Issue inakuja kwenye preliminary costs na charges.
Na pia ili iingie sokoni itahitajika marketing. Vyote hivyo vinahitaji pesa kianzio.
Kwahiyo idea na kuwa na programmer bila mtaji kianzio siyo mwisho wa matatizo.
Na hii ni kwasabu mara nyingi wazo linalohusisha tech huwezi kuli-present likiwa kwenye makaratasi pekee.Sio kwamba nataka kuifanya mwenyewe,hapana, lengo ni kutengeneza prototype kisha kui-present kwa targeted people ambao nataka kuwauzia wazo hilo.
Watu ni wezi, ukiwaonesha tu hiyo prototype wanaiba.Sio kwamba nataka kuifanya mwenyewe,hapana, lengo ni kutengeneza prototype kisha kui-present kwa targeted people ambao nataka kuwauzia wazo hilo.
Duh kwahivo mkuu wewe unashauri vipi? Maana kwa mimi nnavyojua wazo nikilifanyia copyright/patenting mtu akilifanya namshtakiWatu ni wezi, ukiwaonesha tu hiyo prototype wanaiba.
Kwani mpaka sasa kuna Apps ngapi kama Uber.
Copyright unaweza kuifanya kwenye jina ila design watu wanakopi tu na huna cha kuwafanya.Duh kwahivo mkuu wewe unashauri vipi? Maana kwa mimi nnavyojua wazo nikilifanyia copyright/patenting mtu akilifanya namshtaki
Kitu nnachotaka kukifanya hakijawai fanyika kabla Tanzania, hivi itakuwa rahisi sana kum-sue mtu atakayechukua wazo langu.Copyright unaweza kuifanya kwenye jina ila design watu wanakopi tu na huna cha kuwafanya.
Nafahamu kuhusu hizi huduma Mkuu ila mimi natafuta mtu na sio platform, coz kwa pamoja tutachambua proposal na kutengeneza kulingana na mazingira ya targetted company inavotaka, pia mtu huyo ndiye atahusika kujibu maswali wakati wa presentantion endapo wahusika watataka kujua zaidi.Get Your Custom and Professional Business Website Online in 3 Weeks Only
Professional Webflow Web Designer, ready to help you Build a Successful Website for your Business, that will generate more customers from the Internet to your …digxam.com
Kama utakuwa unahitaji kampuni ipo kampuni ambayo imebobea katika masuala hayo ya kutengeneza WEBSITES. Nakuja PM tuyajenge.Mkuu unataka mtu binafsi au Kampuni? Mkuu Nakushauri tafuta kampuni muingie mkataba kwaajili ya kutengeneza hiyo WEBSITE.
Web Technologies Tanzania Limited iko pale jengo la KFC hotel gorofa ya 4. Ina wataalamu wazuri sana na wanatoa huduma nzuri sana mkuu. Kama upo interested zaidi njoo PM nikuunganishe na nao ili mpige kazi.Kampuni gani hiyo mkuu, nafikiri ukiitaja hapa itakua vizuri ili na mwingine ambaye atakuwa na malengo ya kufanya kama mimi apate pakuanzia, pili utakuwa umeisaidia hiyo kampuni kujulikana.
Corner of Msimbazi/Livingstone street Kkoo.Web Technologies Tanzania Limited iko pale jengo la KFC hotel gorofa ya 4. Ina wataalamu wazuri sana na wanatoa huduma nzuri sana mkuu. Kama upo interested zaidi njoo PM nikuunganishe na nao ili mpige kazi.
Asante sana kwa ushauri mkuu.Njia nzuri ni kuanza hiyo project then tafuta right investor ili aweze kuipeleka mbali zaidi, ukimpa equity share inakuwa nzuri. Ila usiuze wazo. Make it work.
Asante kwa taarifa mkuu, hilo eneo nalifahamu, ntafika.Web Technologies Tanzania Limited iko pale jengo la KFC hotel gorofa ya 4. Ina wataalamu wazuri sana na wanatoa huduma nzuri sana mkuu. Kama upo interested zaidi njoo PM nikuunganishe na nao ili mpige kazi.