OPTIMISTIC
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 125
- 20
Ntajie model ya macbook yako..sio macbook zote zina archtecture inayo support Win OS.Natafuta mtaalam wa computer, ninahitaji kuwekewa windows kwenye macbook pro pamoja na software inayoweza kuruhusu nitumia os's zote mbili. Ninaomba anipm ikiwezekana na gharama zake.
Thx
Wataalam changamkieni kazi
Natafuta mtaalam wa computer, ninahitaji kuwekewa windows kwenye macbook pro pamoja na software inayoweza kuruhusu nitumia os's zote mbili. Ninaomba anipm ikiwezekana na gharama zake.
Thx
Wataalam changamkieni kazi