Natafuta mtaalamu wa magonjwa sugu ya staphylococcus (MRS)

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wakuu,

Natafuta specilist wa magonjwa ya kuambukiza (staphylococcus aureus infection -MRS)

Nawapataje maana sijui kama kuna hiyo speciality
 
Wakuu

Watu wa epidemiology masters, community health, public health na wataalamu wa microbiology.

Sijajua unashoda gani, unaweza kueleza ili watu wachangie bizuri?
 
Wakuu,

Natafuta specilist wa magonjwa ya kuambukiza (staphylococcus aureus infection -MRS)

Nawapataje maana sijui kama kuna hiyo speciality
Umwone: daktari bingwa wa magonjwa ya kuambukiza/ infectious diseases specialist. Hospitali husika, (Mloganzila vs Muhimbili)
 
Back
Top Bottom