Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Personal Development Economy(micro economy)Kuna uchumi level ya kitaifa na kimataifa (macro economy)
na uchumi level ya mtu mmoja au vikundi (micro economy)
Nicheki kwa 0713039875 kwa ushauri bure ila isizidi dakika 5 hadi 10Personal Development Economy(micro economy)
0714461314Habari JF.
Kama kuna mtu yeyote ana Degree, Master au hata PHD ya uchumi naomba tuwasiliane.
Lakini pia kama mtu yeyote ana uelewa juu ya masuala mbalimbali ya uchumi naomba anitafute PM
Nashukuru sana.
Exactly ili wote wachangie, sema huenda ni personal ndio maana kataka watu wamtafute inboxUngeweka objectives zako kwenye issue concern economics