Natafuta mtaalamu wa tafsri za ndoto

Natafuta mtaalamu wa tafsri za ndoto

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,146
Reaction score
3,235
Ni hakika nimekuwa nikiota ndoto nyingi na tofauti na asubuhi yake kuzipuuza lakini hii nilioota , hapana nahisi ina maana kubwa.

Ni ndoto ambayo inanitia hamu kufahamu ina maanisha nini ,maana nahisi si ndoto kama zile nilizozoea.

Natanguliza shukurani kwa yoyote atayejaribu.
 
MOD plse hizi ndoto za MkamaP zimemwagwa jukwaa la siasa! Kazi kweli kweli...
 
Mkuu najua wewe ni senior ungepost panapo stahili....matangazo madogo madogo!
 
Ni hakika nimekuwa nikiota ndoto nyingi na tofauti na asubuhi yake kuzipuuza lakini hii nilioota , hapana nahisi ina maana kubwa.

Ni ndoto ambayo inanitia hamu kufahamu ina maanisha nini ,maana nahisi si ndoto kama zile nilizozoea.
Natanguliza shukurani kwa yoyote atayejaribu.
may be i can help you!pm me please
 
Mkuu ninawasi wasi unaweza pata wasanii wa kutafsiri ndoto zako! Ninachofahamu ndoto ziko connected with your own "reality". Unapoweza tafsiri ndoto kisahihi huwa na maana kwenye maisha na uzoefu wake.

Wengine huwa tunaota ndoto za kutisha kila siku, mara unaanguka kwenye Korongo, unakimbizwa na joka.....unashuhudia maajabu....ukiacha zile una-do na Miss Universe! Binafsi huwa naignore tu! inasemekana binadamu huota zaidi ya ndoto 30 kwa siku ila hukumbuka chache sana!
 
MOD plse hizi ndoto za MkamaP zimemwagwa jukwaa la siasa! Kazi kweli kweli...
Mods wako kwenye kiti moto na bia na wengine wanasubiri daku. Wakirudi tu utaona "moved"

vipi mkuu mbona waja juu, nikipata mtaalamu nitawaachia jukwaa lenu.
Wewe mkaruka inaonekana unaamini ushirikina kupita kiasi na nidalili hirizi yako imeshaanza kuishiwa nguvu. Kwa kukusaidi wajua magomeni anapokaa sheikh Yahya Usain. Ana mawazo kama yako na anahitaji watu type yako bila shaka atakusaidia.
 
Mods wako kwenye kiti moto na bia na wengine wanasubiri daku. Wakirudi tu utaona "moved"

Wewe mkaruka inaonekana unaamini ushirikina kupita kiasi na nidalili hirizi yako imeshaanza kuishiwa nguvu. Kwa kukusaidi wajua magomeni anapokaa sheikh Yahya Usain. Ana mawazo kama yako na anahitaji watu type yako bila shaka atakusaidia.

Sawa mkubwa,ila mimi nijuavyo ndoto si ushirikina,ushirikina ni kupiga ramuli .Na mzee yahaya hatafsri ndoto ila yeye ninavyofahamu ana tabiri.

Naomba uni kwetie ktk kitabu chochote kinachosema ndoto ni ushirikana ,lasivyo msema uongo si mpenzi wa Mungu.
 
uNGETAJA NA KIASI CHA MALIPO NAAMINI UNGEPATA FASTA.
 
Ungesema ndoto gani umeota ili watu watafsiri, huwezi jua hii jamii forum kuna watu wanafani za kila aina.
 
Ungesema ndoto gani umeota ili watu watafsiri, huwezi jua hii jamii forum kuna watu wanafani za kila aina.

Nisaidie na mimi! Kuna siku niliota nina-du na wewe....tafasiri yake Please?
 
Kwa maana hiyo pretty ni jini mahaba!?

Jini ni shetani.anauwezo wa kujibadilisha au kuiba sura ya kitu chochote hata mtu,ili mradi akuzuge tu na kukuteka kwenye himaya yake.

By the way,ndoto huwa zina vyanzo 3 /zinatoka sehemu 3;Mungu,Mwanadamu mwenyewe(mawazo) au Shetani, hivyo lazima uwe makini kujua hiyo ndoto imetokana na nini.
 
Back
Top Bottom