Natafuta mtaji wa biashara

Natafuta mtaji wa biashara

UMULKHEIR

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Natafuta mtaji wa biashara.natamani kufumgua biashara ili nijiajiri.aliyetayari tuwasiliane.
 
Natafuta mtaji wa biashara.natamani kufumgua biashara ili nijiajiri.aliyetayari tuwasiliane.

Yani Jambo zito alafu umeongea kirahisi tu, Suala la mtaji wa kuanzisha biashara ni jambo zito kidogo linahitaji maelezo.

Biashara gani?mtaji wa namna gani? uzoefu wako? Shilingi ngapi?
Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom