Natafuta mtaji

EPORA

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
83
Reaction score
16
Heshima mbele wakuu,
Baada ya kuhangaika kutafuta kazi bila mafanikio yoyote,nimeona nitafute mtaji,naomba mdau yeyote anaweza kunisaidia mtaji wa fedha za kitanzania milioni 3,anisaidie
Binafsi nataka nifanye biashara ya vyakula vya nafaka,naomba wenye nia wanisaidie,
MUNGU AWABARIKI.nawasilisha
 
pouwa,
1. we unshilingi ngapi(chanzo chako).
2. ushawahi kufanya iyo biashara au wataka kufanya try?
3. ushafanya "market search" ya maitaji ya iyo biashara yako?
4. etc. itakusaaidia sana
Note; advice you; jaribu kuvifanyia kazi iyvo. kabla ujapewa uo mkopo...
 
ata ukienda bank watakuambia uwape mchanganuwa wako(biashara yako)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…