mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 637
- 663
Habari wadau
Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka
Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata.
Naomba anayeweza aje inbox na naahidi zawadi nono itatolewa kwa sharti moja tu ya malipo ni baada ya kupatikana kwa simu hakutakuwa na malipo kabla ya kazi ,hii ni kwa sababu ya uwepo wa makanjanja kwenye taaluma hii ya Ma-IT
Anayeweza aje inbox tufanye
kazi, kila kitu kipo IMEI za simu zote mbili na Google account