nyendo kintu
Member
- May 31, 2011
- 20
- 2
sio kwamba unatakiwa ulete mzigo bukoba tutapanga bei ya hapo ulipo na mimi nitafuata hapo na sasa nimepata order kubwa kidogo nataka tani 50bukoba ndugu
kuwa serious mkuu hebu piga simu au beep tuongee bei sio kuanika hadharani hii ni biashara privacy inatakiwaMkuu Mtama mwekundu unapatikana sana Mkoa wa mara wilaya ya Serengeti kule ndo chakula chao kikuaa, weka na bei kabisa tufanye biashara, Hata tani mia moja unapata,