Natafuta mteja Alizeti gunia 200 na ufuta gunia 100

kaduchu

Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
80
Reaction score
29
wadau mzigo upo iringa. mazao Ni safi naweza sema grade 1. kwa anaehitaji anipm .nimepaki kwenye gunia la kilo 60 kwa alizeti na kilo 80 kwa ufuta
 
Uko wapi? Bei ya UFUTA unauzaje?
 
wadau mzigo upo iringa. mazao Ni safi naweza sema grade 1. kwa anaehitaji anipm .nimepaki kwenye gunia la kilo 60 kwa alizeti na kilo 80 kwa ufuta
Mimi nataka Choroko hâta tani 50 nicheki tufanye biashara 0766652017
 
wadau mzigo upo iringa. mazao Ni safi naweza sema grade 1. kwa anaehitaji anipm .nimepaki kwenye gunia la kilo 60 kwa alizeti na kilo 80 kwa ufuta

Alizeti tsh ngapi kwa kilo?
 
wadau mzigo upo iringa. mazao Ni safi naweza sema grade 1. kwa anaehitaji anipm .nimepaki kwenye gunia la kilo 60 kwa alizeti na kilo 80 kwa ufuta
Bei tunajipangia wenyewe au umesahau kuiweka hapa?
 
Ukipata mzigo tena jaribu kuwacheki kampuni ya Olam ipo barabara ya umoja wa mataifa mkabala na Tambaza sekondari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…