M mwangotageofrey New Member Joined Sep 3, 2019 Posts 3 Reaction score 2 Sep 3, 2019 #1 Natafuta mteja wa kumuzia hisa zangu za voda nazo hisa elf 5 nauza zote tuwasiliane kwa no: 0683 964738
Natafuta mteja wa kumuzia hisa zangu za voda nazo hisa elf 5 nauza zote tuwasiliane kwa no: 0683 964738
W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Sep 3, 2019 #2 mwangotageofrey said: Natafuta mteja wa kumuzia hisa zangu za voda nazo hisa elf 5 nauza zote tuwasiliane kwa no: 0683 964738 Click to expand... Wasiliana na madalali wa soko la hisa, hisa haziuzwi kama dawa za mirishamba.
mwangotageofrey said: Natafuta mteja wa kumuzia hisa zangu za voda nazo hisa elf 5 nauza zote tuwasiliane kwa no: 0683 964738 Click to expand... Wasiliana na madalali wa soko la hisa, hisa haziuzwi kama dawa za mirishamba.
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Sep 4, 2019 #3 wazunguwawili said: Wasiliana na madalali wa soko la hisa, hisa haziuzwi kama dawa za mirishamba. Click to expand... Hahahaha umempa jibu zuri sana.
wazunguwawili said: Wasiliana na madalali wa soko la hisa, hisa haziuzwi kama dawa za mirishamba. Click to expand... Hahahaha umempa jibu zuri sana.
captain temba JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 315 Reaction score 249 Sep 4, 2019 #4 Hisa Elf 5 Unauza 1.2b duuh
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Sep 4, 2019 #5 mwangotageofrey said: Natafuta mteja wa kumuzia hisa zangu za voda nazo hisa elf 5 nauza zote tuwasiliane kwa no: 0683 964738 Click to expand... Unanunua hisa tanzania? Mkuu ulikua huoni hali ya uchumi? Au waziri mkuu alikushawishi?
mwangotageofrey said: Natafuta mteja wa kumuzia hisa zangu za voda nazo hisa elf 5 nauza zote tuwasiliane kwa no: 0683 964738 Click to expand... Unanunua hisa tanzania? Mkuu ulikua huoni hali ya uchumi? Au waziri mkuu alikushawishi?
M mwangotageofrey New Member Joined Sep 3, 2019 Posts 3 Reaction score 2 Sep 11, 2019 Thread starter #6 Upepo wa Pesa said: Unanunua hisa tanzania? Mkuu ulikua huoni hali ya uchumi? Au waziri mkuu alikushawishi? Click to expand... Hahaha htr sn
Upepo wa Pesa said: Unanunua hisa tanzania? Mkuu ulikua huoni hali ya uchumi? Au waziri mkuu alikushawishi? Click to expand... Hahaha htr sn