natafuta mteja wa vanilla kavu dar/kagera

natafuta mteja wa vanilla kavu dar/kagera

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba
 
wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba
Mkuu mbona itv huwa wanatangaza sana kuhusu zao la vanilla na wanasema soko lake ni uhakika ebu jaribu kufuatilia pia maana kuna kampuni huwa inatangaza sana mambo ya vanilla,, Saa Mbili usiku muda wa taarifa ya habari
 
Naomba uweke picha na bei kwa kg
120 kg ni mzigo mkubwa kwa vanilla ila unaweza pata mnunuzi
Ila mimi nataka kuiona kwa picha
 
Mkuu mbona itv huwa wanatangaza sana kuhusu zao la vanilla na wanasema soko lake ni uhakika ebu jaribu kufuatilia pia maana kuna kampuni huwa inatangaza sana mambo ya vanilla,, Saa Mbili usiku muda wa taarifa ya habari
Ndugu hawa jamaa nimewafata sijui wana nini! Sim haijibiwi. Na bei yao nadhan ni ya kwenye huko mahubiri yao. Niishie hapo
 
Tafuta connection Madagascar mkuu. Tumia ubalozi wetu wa Msumbiji kwani unawakilisha Tanzania Madagascar. Au ubalozi wao hapa nchini kama upo. Huko vanilla inauzwa kwa bei ya jumla kwenda Ufaransa na soko ladunia linafahamu kua vanilla nyingi huchukuliwa huko hivyo wateja ni wengi wanaonunua kupeleka wanakojua wao. Mwaka huu uchumi wao umeyumba sababu vanilla imepigwa na ukame hivyo bei imepaa sana kule
 
Back
Top Bottom