Natafuta mtu aliesoma/anaesoma UDSM Master of Arts in Project Planning and Management

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,849
Reaction score
2,132
Hello great thinkers,
Tafadhali kama kichwa kinavyosema natafuta mtu yoyote aliyesoma au anaesoma course tajwa hapo juu (inatolewa na Geography Department); nina mpango wa kwenda kusoma hiyo course hivyo nahitaji kujadiliana naye mawili matatu. Asanteni kwa ushirikiano.
 
Ok.. mtamusana kumbe open nao wanayo hii course!
 
Last edited by a moderator:
ni pm nikupe namba ya mtu anaye soma hiyo kozi sasa hivi
 
Mkuu safi..sana...nami nina mpango wa kupiga hio kitu...Kimsngi nmegraduet shahada ya kwanza hapo udsm..na mpango wangu wa Masters upo hapo kwenye hio course

Duration ya kozi ni Miaka miwili....na inafundishwa jioni tu
Na ukitaka taarifa zaidi huku ukimsubiria unayemtafuta waweza ingia Www.usdm.co.tz postgraduate studies....kozi mbalimbali kutoka vitivo mbalimbali hapo udsm zimeelezewa kiundani pamoja na hio tajwa hapo juu....
 
Nitakuwa na tabia mbaya ikiwa sitarudi kutoa shukrani zangu na mrejesho kwenu wanaJf.

Nashukuru mnoo, kupitia Samvurah nimepata niliyekuwa namtafuta. Shukrani kwenu nyote. Idumu Jf.
 
Last edited by a moderator:
KIBIKIMUNU njoo ujibu, huenda wengine tukawa wanafunzi wako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…