Herr muller
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 1,017
- 1,210
Habari zenu wakuu, natafuta mtu ambae anatoka kigoma ujiji, niko na kitu fulani nataki anisaidie nae, nataka aende hapo ofisi za kigoma ujiji au kaa kuna mtu anajua nae hapo ofisi za kigoma ujiji amuombe KIGOMA UJIJI INVESTORS GUIDE 2017, alafu anitumie kwa email yangu keruguya555@gmail .com kwa njia ya PDF FORMAT, na ninakuhakikisia ya kwamba nitakupa zawadi mkuu, nataka fanya investment hapo kigoma lakini hii pdf format najaribu kuidownload lakini inagoma, lakini mtu ambae anafanya kazi hapo kigoma ujiji au mtu anajuana na mtu anafanya kazi hapo kigoma ujiji anaweza nisaidie kwa kunitumia kupitia hii email yangu, na narudia iko zawadi kubwa kwa yoyote atakaenisaidia fanya hivyo, mubarikiwe sana wakuu