Augustking Senior Member Joined May 25, 2019 Posts 118 Reaction score 188 Nov 28, 2024 #1 Habari wana JF? natafuta mtu anaejua kihadzabe au aliokaribu na jamii ya kihadzabe nina kazi ya kutafsiri kutoka kihadzabe kuja kiswahili. naomba tuwasiliane 0759702766
Habari wana JF? natafuta mtu anaejua kihadzabe au aliokaribu na jamii ya kihadzabe nina kazi ya kutafsiri kutoka kihadzabe kuja kiswahili. naomba tuwasiliane 0759702766
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Nov 28, 2024 #2 Hakunaga
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,766 Reaction score 8,959 Nov 28, 2024 #3 Usimdharau jirani yako,umemuuliza?