mnashindwa kutafutana live huko kweyne ma class, macafteria, library. mnakuja huku jf.
nilizani mtu anatafuta labda waliomaliza wote mwaka fulani wamepotezana.
Mleta mada haujitambui, yaani unawatafuta kwenye mtandao watu ambao mpo darasa moja? kwa mfano! kuwa makini naamini wewe utadisco hiyo degree yako.
Tumia hii mitandao kutafuta watu wengin bana ambao wapo mbali.
Ungepost kwamba wewe unasoma llb mzumbe main campus, natafuta wanafunzi wa llb mzumbe dsm campus, aau llb udsm,or tumaini ili mexchange idea ungeonekana poa.