Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba Mikoani

Joined
Apr 12, 2020
Posts
13
Reaction score
19
Ndugu habari.. !!

Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani...

Nina bidhaa za nguo za
emoji158.png
jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea

Mawasiliano 0744644627
0622531099

Hata pia kwa ulieko Dar Es salaam ni vizuri zaidi, jipatie bidhaa kwa bei poa ya jumla..

Nataka nibadilishe biashara, so mzigo upo store bei poa kabisa usiwe na shaka
 
Me nauza mtumba was suruali na t shirt za kuiume Niko kaliua mkoan tabora Nina frem hua nachukulia mzigo karume kama mzigo uko vizuri nichek private 0763487894,
NB : janjajanja sipend mana watu wa dar nyie sio poa hamchelewi kutuliza wa mikoani
 
Back
Top Bottom