Natafuta mtu anayejihusisha na miti ya matunda

o_2

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
428
Reaction score
385
Habari mwana jamvi,

Kama upo humu na unajihusisha na kilimo cha miti ya matunda na maua. Kama upo Tukuyu hebu fanya kunitumia private message hapa Upate hela ya pasaka.
 
Hapa ndo maajabu ya sisi weusi,tutakuwaje matajiri wakati mada zenye madini kama hizi unakutana na zero reply! Ukienda kwenye kula kmasihara unakutana na 43,000 replies [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda pale CCM kuna jamaa wana bustani, watakusaidi miche ya makatapera, mang'ang'a, makusu, mbula, masasati, mangubwisya, na mingine mingi
 
Hapa ndo maajabu ya sisi weusi,tutakuwaje matajiri wakati mada zenye madini kama hizi unakutana na zero reply! Ukienda kwenye kula kmasihara unakutana na 43,000 replies [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bara gumu sana hili ndugu
 
Nahisi ni parefu coz nataka miti kama 50 hivi. Nipo busokelo. Hiyo distance sasa
 
Back
Top Bottom