Nenda pale CCM kuna jamaa wana bustani, watakusaidi miche ya makatapera, mang'ang'a, makusu, mbula, masasati, mangubwisya, na mingine mingiHabari mwana jamvi,
Kama upo humu na unajihusisha na kilimo cha miti ya matunda na maua. Kama upo Tukuyu hebu fanya kunitumia private message hapa Upate hela ya pasaka.