Natafuta mtu anayekopesha kwa riba

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
94
Nina shida ya dharura imenipata nahitaji million moja niweze kuikabili. Nitairudisha mwezi july kabla ya tarehe 15. Naomba mnitumie email mnaokopesha kwa riba ili tuongee mtani charge riba kiasi gani? Email yangu ni ak_abduel@yahoo.com ( herufi ndogo). Asante
 
Mie nafikiria ungeweka wazi angalu juu juu kwanini unakopa hizo pesa,ili watu wenye huruma wafanye huruma yao.
Maana humu kuna watu wanaomba kukopa na wanatoa sababu zao,lakini ukificha hivyo watu wanatafsiri vingine.
Kukopa kwa shida sio aibu kila mtu ana madeni siku hizi,kazi ni kukopa huku na kuhamisha deni kule
 

Ndugu yangu sikuona haja ya kuweka shida yangu maana mambo mengine hayana haja ya kuweka wazi MAANA SIKU HIZI KUKOPA KWA RIBA NI BIASHARA. Asante kunielewa
 
Vumilia shida mamaangu riba ni haramu na ni katika yale madhambi makubwa. Ushauri tu manake kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
 
tena riba za mtaani.1, 000, 000 kwa 400, 000...maumivu tu
 
Unaweka kitu gani colateral? Hapo ubungo plaza kuna kampuni inakopesha ila unaweka kitu hata camera, sijui simu ama saa ya maana. Jaribu kucheki sikumbuki jina lao
 
Reactions: BIR
1. Kwa ushauri wangu bora ufanye utaratibu ukakope bank kwani sasa hivi kuna mabank ndani ya siku 3 ukikamilisha taratibu zao unapata mkopo.
2. Sikushauri kukopa kwa watu binafsi kwanza riba zao ni kubwa kuanzia 30% kwenda juu, pili ikatokea bahati mbaya hela ikachekewa siku moja baada ya muda wa makubaliano basi ujue kile ulichokiweka kama collateral kinachukuliwa.
3. Ni bora uuze hicho kitu unachotaka kukiweka kama collateral usolve matatizo yako then baadae ununue tena kama bado utakuwa na mahitaji nacho.



Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…