mimi ni mjasiria mali , nimebahatika kila ninachofanya kinafanikiwa lakini siwezi kufanya kila kitu mwenyewe inabidi vyengine niwashirikishe watu , ninashamba kubwa hapo kiromo bagamoyo na ninafuga ngombe 80 ,mbuzi 20 kuku bata .
natafuta partner kwenye kilimo cha mbonga mboga , nitatowa ardhi , mbolea ya kinyesi cha ngombe na nitamchimba kisima kwa ajili ya umwagiliaji nitatowa generator kwa ajili ya kuyavuta maji ,
yeye awe na taaluma ya kilimo au mzowefu wa kulima kwa muda mrefu , itakuwa vyema kama ni mtaalamu wa (horticulture )
awe na uwezo wa kuja hapo shamba na kujituma , mchango wake utakuwa ni kuweka petrol ya kupampu maji na kulipa gharama za kulima na usimamizi baada ya gharama hizi tukivuna tunagawana faida niko tayari kumpatia aslimia 60% na ninalo soko na mazao kama kama nyanya , biringani, spinach , pili pili hoho , bamia ,maharage kijani , saladi matunda ya peshen na kadhalika
kwa mawasiliano ya awali karibu ukumbini hapa