Habari.
Nina shida sana na mtu ambaye tayari ametengeneza app na kuipublish playstore yaan ipo live.
Ila kwa namna moja au nyingine ameona haimlipi, mimi nina shida naye nahitaji kupublish app yangu.
Huyo mtu awe ametengeneza hiyo app kabla ya mwezi Nov 2023.
NITAKULIPA
Kwa mawasiliano zaidi 0677 818283