Suleiman755
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 274
- 208
Kama title ilivyo ninatafuta mdau mwenye vibali na mtaji pori la kwangu tukate mkaa kwa partnership hapo tanga .
Karibuni wadau mlio interested.
Karibuni wadau mlio interested.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shenzy kabisa. Yani unapanga kuharibu misitu yetu???Kama title ilivyo ninatafuta mdau mwenye vibali na mtaji pori la kwangu tukate mkaa kwa partnership hapo tanga .
Karibuni wadau mlio interested.
Wacha kuwa mropokaji kama baameid, uwe unasoma vizuri pori ni langu limekuwa lenu lini sasa shwain mkubwa ngumbaru usiejua kusoma ww!Shenzy kabisa. Yani unapanga kuharibu misitu yetu???
Kama pori ni lako unatafuta Vibali vya ñn sasaWacha kuwa mropokaji kama baameid, uwe unasoma vizuri pori ni langu limekuwa lenu lini sasa shwain mkubwa ngumbaru usiejua kusoma ww!
Ndio maana nikasema wadau waje , hayo maswali yako ni dhahiri hujui lolote juu ya jambo hili wenyewe tunaelewa.Kama pori ni lako unatafuta Vibali vya ñn sasa
Wenyewe mnaelewa juu kuharibu misitu yetu sio?Ndio maana nikasema wadau waje , hayo maswali yako ni dhahiri hujui lolote juu ya jambo hili wenyewe tunaelewa.
Njoo basi ukate hapo ninaposema halafu ndio utajua kama ni ya kwako wewe na nani yako sijui!Wenyewe mnaelewa juu kuharibu misitu yetu sio?
Hela ya Karo ndo inasababisha ufanye deforestation. I must better not go to school.Njoo basi ukate hapo ninaposema halafu ndio utajua kama ni ya kwako wewe na nani yako sijui!
Watoto wenzio wanajadili mambo yenu insta huko sio kusumbua baba zenu huku tunapowatafutia hela za karo za shule.
Ndio hayo uliokaririshwa na mwalimu wako wa goegraphy unafikiri ni mwisho wa elimu, maliza six usome na uchumi uongezee hapo ndio utaelewa dunia ya utafutaji bado huwezi kujadili mambo ya wakubwa hapo ulipo.Hela ya Karo ndo inasababisha ufanye deforestation. I must better not go to school.
Baba mzima unaleta jangwa, unaleta global warming,
Sasa una strategy gani ya kupanda miti mingine baada ya kuiteketeza iyo.Ndio hayo uliokaririshwa na mwalimu wako wa goegraphy unafikiri ni mwisho wa elimu, maliza six usome na uchumi uongezee hapo ndio utaelewa dunia ya utafutaji bado huwezi kujadili mambo ya wakubwa hapo ulipo.
Watoto mnawashwa nyinyi huu uzi hauwafananii kabisa nilitarajii waje watu wazima wenzangu tujadili maisha hapa na namna ya kumake pesa mnakuja mateenager nyie mnao kula bure na kuomba home hela za kuhonga vimalaya vyenu vitoto vyenzenu.kimenuka
sawa nakula bure, ila mimi ni chaputa damdam mkuukuhonga vimalaya vyenu vitoto vyenzenu
Poa kama ni chaputa walau umeepuka laana ya hao mbwa koko jike ambayo ni mbaya kwa kijana anaetarajia kujitegemea baadae.sawa nakula bure, ila mimi ni chaputa damdam mkuu
Ni ujinga tu,watu wanatafuta hela watu wanajidai kuleta mastory ya mazingira utadhani mtoa Uzi ndo wa kwanza kukata mkaahahaha...jf raha sana...jamaa kaanzisa topic nyingine alafu wana mmempoteza kabisa
Faida na hasara za wavu(fishing net) ukilitupa baharini mpaka konokono utawakamata na net(mtandao) ni hivyo kazi ni ya mvuvi kuchambua mwenyewe.hahaha...jf raha sana...jamaa kaanzisa topic nyingine alafu wana mmempoteza kabisa
Kaka jf siku hizi watoto nao wameshaijua ndio tatizo utani wa darasani sekondari amemaliza form four ama six anatuletea humu.Ni ujinga tu,watu wanatafuta hela watu wanajidai kuleta mastory ya mazingira utadhani mtoa Uzi ndo wa kwanza kukata mkaa