Natafuta mtu mwenye kibali na mtaji wa kukata mkaa Tanga

Suleiman755

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2018
Posts
274
Reaction score
208
Kama title ilivyo ninatafuta mdau mwenye vibali na mtaji pori la kwangu tukate mkaa kwa partnership hapo tanga .
Karibuni wadau mlio interested.
 
Njoo basi ukate hapo ninaposema halafu ndio utajua kama ni ya kwako wewe na nani yako sijui!
Watoto wenzio wanajadili mambo yenu insta huko sio kusumbua baba zenu huku tunapowatafutia hela za karo za shule.
Hela ya Karo ndo inasababisha ufanye deforestation. I must better not go to school.

Baba mzima unaleta jangwa, unaleta global warming,
 
Hela ya Karo ndo inasababisha ufanye deforestation. I must better not go to school.

Baba mzima unaleta jangwa, unaleta global warming,
Ndio hayo uliokaririshwa na mwalimu wako wa goegraphy unafikiri ni mwisho wa elimu, maliza six usome na uchumi uongezee hapo ndio utaelewa dunia ya utafutaji bado huwezi kujadili mambo ya wakubwa hapo ulipo.
 
Sasa una strategy gani ya kupanda miti mingine baada ya kuiteketeza iyo.
 
We are crying. Have mercy on us
 
Attachments

  • images.jpeg
    52.5 KB · Views: 14
Watoto mnawashwa nyinyi huu uzi hauwafananii kabisa nilitarajii waje watu wazima wenzangu tujadili maisha hapa na namna ya kumake pesa mnakuja mateenager nyie mnao kula bure na kuomba home hela za kuhonga vimalaya vyenu vitoto vyenzenu.
 
hahaha...jf raha sana...jamaa kaanzisa topic nyingine alafu wana mmempoteza kabisa
 
hahaha...jf raha sana...jamaa kaanzisa topic nyingine alafu wana mmempoteza kabisa
Faida na hasara za wavu(fishing net) ukilitupa baharini mpaka konokono utawakamata na net(mtandao) ni hivyo kazi ni ya mvuvi kuchambua mwenyewe.
 
Ni ujinga tu,watu wanatafuta hela watu wanajidai kuleta mastory ya mazingira utadhani mtoa Uzi ndo wa kwanza kukata mkaa
Kaka jf siku hizi watoto nao wameshaijua ndio tatizo utani wa darasani sekondari amemaliza form four ama six anatuletea humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…