Natafuta mtu mwenye uhitaji wa kujifunza Kiingereza hasa wale wanaitwa English beginners ambao hawana msingi wa Kiingereza

Natafuta mtu mwenye uhitaji wa kujifunza Kiingereza hasa wale wanaitwa English beginners ambao hawana msingi wa Kiingereza

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Habari.

Ikiwa unahitaji kujifunza Kiingereza kama English beginner unakaribishwa.

Hiki kipindi cha likizo cha mwezi mmoja Kama Mwalimu napenda kujitolea hasa kwa jamii yangu.

Ntafundisha mambo matatu

Grammar (sarufi)
Pronunciation (utamkaji wa maneno ya Kiingereza
Writing and reading (kuandika na kusoma)

Ntatumia njia ya WhatsApp ntakuwa naandika somo then nalielezea baada ya hapo natuma Voice note ya maelezo na tukimaliza tunafanya zoezi Dogo. Ili kujenga uelewa.

Kama tunavyojua kujua lugha ya Kiingereza ni mchakato na mchakato ili uende mbele unahitaji utayari wa MTU mwenyewe.
 
Back
Top Bottom